Genesis 10:15-19


15 aKanaani alikuwa baba wa:
Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,
16 bWayebusi, Waamori, Wagirgashi,
17 cWahivi, Waariki, Wasini,
18 dWaarvadi, Wasemari na Wahamathi.

Baadaye koo za Wakanaani zilitawanyika,
19 ena mipaka ya Kanaani ilienea kutoka Sidoni kuelekea Gerari hadi Gaza, kisha kuelekea Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hadi kufikia Lasha.

Copyright information for SwhKC